Maandalizi yanaendelea Kigamboni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2020
Maandalizi yanaendelea Kigamboni

Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi yake ya mwisho mwisho kuelekea mchezo wa kwanza wa ligi kuu msimu wa 2020/21 dhidi ya Tanzania Prisons

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili, saa moja jioni katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Mabingwa hao wa kihistoria wanaendelea kuweka mambo sawa, tayari kuwapa furaha mashabiki wao ambao msimu huu wanahitaji kushangilia ubingwa wa ligi kuu

Mkufunzi wa Yanga Zlatko Krmpotic leo ameingia siku ya tano tangu aanze kuwanoa Wanajangwani hao

Tayari kuna kitu kimeanza kuonekana katika kikosi chake, kipimo cha kwanza ni mchezo dhidi ya Prisons keshokutwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’