Ni suala la muda tu, Wanayanga wataanza kujipatia bidhaa za klabu yao ikiwemo jezi mpya za msimu huu katika duka rasmi la klabu ya Yanga ambalo liko kwenye hatua za mwisho kukamilika pale Jangwani yalipo Makao Makuu ya Mabingwa hao wa kihistoria
Hii ni historia nyingine hapa Tanzania kwa Yanga, kuwa klabu ya kwanza kumiliki duka la kisasa kabisa tena katika jengo lake la Makao Makuu

Zile habari za kuuziwa jezi feki ndio zinafika mwisho sasa kwani ukienda pale Makao Makuu utajipatia vitu orijino
Ile hadhi ya Kimataifa taratibuu inaanza kukaa mahali pake...!
ADVERTISE HERE