Hizi hapa mechi za Yanga mwezi Septemba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Sep 2020
Hizi hapa mechi za Yanga mwezi Septemba

Kikosi cha Yanga kitaanza kampeni ya kusaka ubingwa wa ligi kuu msimu wa 2020/21 Jumapili ijayo watakapomenyana na Tanzania Prisons katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam

Katika mwezi wa tisa, Yanga itacheza mechi nne ambapo ratiba ya mabingwa hao wa kihistoria inaonyesha, watarudi tena uwanja wa Mkapa Septemba 13 kuikabili Mbeya City

Baada ya mchezo wa Mbeya City, Yanga wataelekea mkoani Kagera kuifuata Kagera Sugar katika mchezo ambao utapigwa Septemba 19

Wakitoka Kagera, mabingwa hao wa kihistoria wataelekea mkoani Morogoro kukamilisha michezo yao ya mwezi Septemba kwa kuikabili Mtibwa Sugar

Hizi ndizo alama 12 ambazo Yanga wanapaswa kuzikusanya mwezi huu wa Septemba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’