Klabu zote nchini ambazo zimeajiri wachezaji na makocha wa kigeni zimetakiwa kuwasilisha orodha ya waajiri hao pamoja na vibali vyao vya kuishi na kufanya kazi nchini katika idara ya Uhamiaji kabla ya kuanza mashindano ya msimu huu

ADVERTISE HERE