Kuanzia sasa ni mwendo wa ki Laliga tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Aug 2020
Kuanzia sasa ni mwendo wa ki Laliga tu

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Simon Patrick amesema kuanzia sasa wanayanga watarajie kuona mabadiliko makubwa katika utaratibu ambao klabu ya Yanga itakuwa ikiendeshwa

Yanga tayari imekamilisha awamu ya kwanza ya mchakato wa Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji

Mabadiliko ya kwanza yalionekana jana, ni namna ambavyo klabu ya Yanga iliandaliwa kuelekea kilele cha tukio la wiki ya Mwananchi

Kuanzia mavazi na mpangilio wa matukio ambayo wachezaji walifanya kabla ya mchezo dhidi ya Aigle Noir, ni ishara tosha kuwa Yanga mpya imewadia

Mchakato wa Mabadiliko Yanga unafanyika chini ya usimamizi wa La Liga, ambayo inaitumia klabu ya Sevilla mabingwa wa ligi ya Europa kama sehemu ya Yanga kujifunza na kupata uzoefu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
2d ago
READ MORE β†’