Hatimaye mshambuliaji Yacouba Songne amewasili nchini kujiunga na mabingwa wa kihistoria, Yanga
Songne aliondoka jana kwao Burkina Faso kuja nchini na sasa amewasili na kama ilivyo kawaida, mashabiki wa Yanga wamejitokeza kwa wingi kumpokea
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Asante Kotoko, amepokelewa na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM, Mhandisi Hersi Said
Sasa kikosi kimekamilika..!


ADVERTISE HERE