Mashabiki wa Yanga wameendelea kumiminika uwanja wa Mkapa kushuhudia tukio la kihistoria la kilele cha Wiki ya Mwananchi
Shabiki huyu aliyejiandika ujumbe maalum kwa ajili ya kumpa heshima Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Yanga Mhandisi Hersi Said, ametisha..!
Mpaka kufikia saa nane mambo yatakuwa yemependeza zaidi
Kwa wale ambao watakosa nafasi ya kufika uwanjani kutokana na sababu mbalimbali, Azam TV watakuwa mbashara kuanzia saa nane
Hakika hii ni siku ya kipekee kwa kila Mwananchi...!
ADVERTISE HERE