Mkali wa Bongo Fleva Harmonize ndiye ataongoza mashambulizi ya Burudani kesho pale dimba la Mkapa kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi
Jana Harmonize alishuka uwanja wa Mkapa na Chopa kwa ajili ya kutesti mitambo tu!
Kwa hakika hiyo kesho historia itaandikwa! Kama bado hujijipatia tiketi, fanya hima, hili ni tukio la kihistoria ambalo hupaswi kulikosa..!



ADVERTISE HERE