Benchi la ufundi Yanga limekamilika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Aug 2020
Benchi la ufundi Yanga limekamilika

Baada ya kumteua Zlatko Krmpotic raia wa Serbia kuwa Kocha Mkuu, Yanga sasa imekamilisha benchi lake la ufundi linaloundwa na wataalamu kutoka Mataifa manne

Nafasi ya Kocha Msaidizi ni Juma Mwambusi raia wa Tanzania wakati kocha wa makipa ni Vladmir Niyokuru raia wa Burundi

Kocha wa mazoezi ya viungo ni Riedoh Berdien kutoka Afrika Kusini huku mchuwa misuli akiwa Fareed Kassim raia wa Afrika Kusini

Meneja wa timu ni Hafidh Saleh, raia wa Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’