Mshambuliaji mpya wa Yanga Yacouba Sogne anatarajiwa kuwasili nchini August 31 akitokea kwao Burkina Faso
Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said ametoa ufafanuzi kuwa awali mchezaji huyo alitarajiwa kuondoka jana August 27 kule Burkina Faso lakini Ndege aliyokuwa asafiri nayo ilifuta safari za tarehe hiyo na hivyo ataondoka siku ya Jumapili August 30 na kuwasili nchini kesho yake
Kwa maana hiyo Yacouba atakosa tukio la wiki ya Mwananchi, keshokutwa, Wanayanga watarajie kumuona 'mbashara' pale ligi itakapoanza Septemba 06
ADVERTISE HERE