Mwambusi atambia kikosi Yanga, awapongeza GSM

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Aug 2020
Mwambusi atambia kikosi Yanga, awapongeza GSM

Kocha Msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi amepongeza usajili uliofanywa na GSM akionyesha kuvutiwa na uwezo wa wachezaji waliosajili msimu huu

Mwambusi amepewa mkataba wa miaka miwili ambapo wakati huu amekabidhiwa majukumu ya kukinoa kikosi cha Yanga wakati akisubiriwa kocha mkuu

Kocha huyo wa zamani wa Mbeya City ameeleza kuridhishwa na mwenendo wa kikosi chake

"Tuna program maalum ya mazoezi, ambapo kuna wachezaji wa zamani ambao tayari wamefanya mazoezi pamoja na Mwalimu wa viungo ana ripoti yao.

"Pia kuna wachezaji wageni waliofika karibuni na wengine wanaoendelea kuwasili. Tunawaandaa tofauti lakini mwishowe hawa wageni wawe sawa na wenzao.

"Nawapongeza sana GSM kwa kuleta wachezaji ambao wako very skilled na compitent. Wengi ni wachezaji wa kimataifa hivyo kiufundi wapo safi sana, kwa muda uliobaki nahakikisha wanakuwa na chemistry nzuri tayari kwa mashindano na kutupatia matokeo mazuri," alisema Mwambusi

Jukumu lake la kwanza ni kuhakikisha anaiweka timu sawa tayari kwa mchezo wa kilele cha wiki ya Mwananchi utakaopigwa Jumapili, August 30 dhidi ya Aigle Noir

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’