Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua Uwanja wa Chuo cha Sheria, Ubungo Mawasiliano yakiwa ni maandalizi kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi August 30
Leo Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla alipata nafasi ya kushuhudia mazoezi hayo akiwa Senzo Mazingiza mwenye Majukumu maalum ya kuushauri uongozi wa Yanga katika masuala mbalimbali

Kiungo Carlinhos aliyetua jana, leo alianza rasmi kujifua na wachezaji wengine



ADVERTISE HERE