Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa Cedric Kaze raia wa Burundi aliyetarajiwa kuchukua majukumu ya kuinoa Yanga, ameomba apewe wiki tatu kushughulikia matatizo ya kifamilia
Yanga imetangaza kuachana na kocha huyo hivyo wakati wowote watamtangaza kocha mkuu mwingine

ADVERTISE HERE