Jana Wanayanga walidhihirisha kuwa wako tayari kuujaza uwanja wa Mkapa kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi siku ya Jumapili
Idadi ya mashabiki waliojitokeza kumpokea kiungo Carlinhos imeacha gumzo kila kona
Carlinhos ametua Yanga kwa mkataba wa miaka miwili na leo anatarajiwa kuwa kwenye viunga vya mazoezi ya mabingwa hao wa kihistoria kwa ajili ya maandalizi ya kilele cha wiki ya Mwananchi

Sasa anayesubiriwa ni mshambuliaji Yacouba Sogne na kocha Cedric Kaze ambao watawasili kesho Alhamisi na Ijumaa
ADVERTISE HERE