Tiketi wiki ya Mwananchi kuanza kuuzwa mapemaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Aug 2020
Tiketi wiki ya Mwananchi kuanza kuuzwa mapemaa

Yanga imedhamiria kulifanya tukio la wiki ya Mwananchi kuwa la kipekee na mfano kwa wengine

Maandalizi ya tukio hilo yameanza mapema, ni tukio ambalo litajumuisha burudani za aina mbalimbali

Kwa upande wa wasanii, wapo wakali na wanamuziki magwiji hapa nchini wamealikwa

Mkali wa Bongo Fleva Harmonize, yeye amethibitisha atakuwepo siku ya Jumapili

Aidha, Harmonize ameandaa wimbo maalum kwa ajili ya 'kuwarusha' mashabiki wa Yanga siku hiyo

Wasanii wengine kama mkongwe Juma Nature, Madee, Gnako Warawara na mkali wa singeli Mzee wa Bwax nao watashiriki Tamasha hilo

Tiketi kuelekea Jumapili zitaanza kuuzwa mapema tu ili kuhakikisha Wanajangwani wanajipatia tiketi mapema

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’