Aigle Noir kuja wiki ya Mwananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Aug 2020
Aigle Noir kuja wiki ya Mwananchi

Mabingwa wa zamani wa ligi kuu ya Burundi Aigle Noir ndio watakaokuja kuipima Yanga siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi, Jumapili August 30 katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Mkapa

Akizungumza na Wanahabari mapema leo, Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amesema klabu hiyo imethibitisha kuwa watakuja nchini kwa ajili ya mchezo huo

Yanga imefikia uamuzi wa kuwaleta Aigle Noir baada ya kupata changamoto ya kuzipata timu walizozihitaji mwanzo kutokana na nchi nyingi kuwa kwenye lockdown iliyosababishwa na corona

Aigle Noir walikuwa mabingwa wa Burundi msimu wa 2018-19, msimu uliopita wakimaliza kwenye nafasi ya tatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’