Uongozi wa klabu ya Yanga, leo Jumatatu wanatarajiwa kuwa na Mkutano na Wanahabari
Taarifa iliyotolewa mapema leo imebainisha kuwa Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu ya Yanga, kuanzia saa sita kamili mchana

ADVERTISE HERE