Wanayanga wana kila sababu ya kufurahia Mabadiliko ya mfumo wa Uendeshaji wa klabu hiyo ambayo yanasimamiwa na La Liga pamoja na klabu ya Sevilla
Kwa mara nyingine usiku wa kuamkia leo, Sevilla wamedhihirisha umwamba wao katika soka la Ulaya baada ya kutwaa taji la Europa kwa kuifunga Inter Milan mabao 3-2 katika mchezo wa fainali
Hilo ni taji la sita kwa mabingwa hao wa kihistoria wa michuano ya Europa
Sevilla ndio inayotoa mwongozo kwa klabu ya Yanga, katika mchakato wa Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji ambao awamu ya kwanza inakamilika mwishoni mwa mwezi huu
Bravo Sevilla...!
ADVERTISE HERE