Thabani Kamusoko, Papi Tshishimbi na Kelvin Yondani wameanza mazoezi baada ya kukosa mchezo dhidi ya Mbeya City kutokana na majeruhi.
Amissi Tambwe naye amerejea rasmi kwenye mazoezi ya kikosi cha Yanga baada ya kufanya mazoezi binafsi kwa takribani siku tano.
Donald Ngoma ndiye mchezaji pekee ambaye taarifa zake haziko wazi. Ngoma bado hajarejea kutoka kwao nchini Zimbabwe.
Huyu bila shaka anasubiriwa na adhabu kutoka kwa uongozi wa Yanga kama alivyoeleza Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwassa hivi karibuni.

ADVERTISE HERE