Winga mpya wa Yanga Tuisila Kisinda ameeleza kushangazwa na idadi kubwa ya mashabiki waliojitokeza kuwapokea kule JNIA na kuwasindikiza mpaka Makao Makuu ya klabu ya Yanga Jangwani jijini Dar es salaam
Kisinda pamoja na kiungo Mukoko Tonombe waliwasili mapema leo wakitokea kwao DR Congo baada ya kukamilisha usajili wao uliosimamiwa kikamilifu na Injinia Hersi Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM
Nyota huyo amekiri hii ni mara ya kwanza upewa heshima kubwa ya aina ile
Hili ni deni kubwa kwake kwani mashabiki wameonyesha kuwa na imani na matumaini makubwa kwa ujio wake pamoja na Mukoko

ADVERTISE HERE