Nimekuja kufanya kazi Yanga - Senzo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2020
Nimekuja kufanya kazi Yanga - Senzo

Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa amewasili leo kutoka UAE tayari kuanza majukumu yake ndani ya uongozi wa Yanga

Baada ya kutua nchini, Senzo amesema yuko tayari kuhudumu akiwa mwajiriwa wa Yanga huku akiwaomba radhi mashabiki wa Simba ambao hawakufurahishwa na uamuzi aliouchukua wa kujiunga na Yanga

"Namshukuru Mungu nimewasili salama nchini Tanzania, nikiwa tayari kuanza majukumu yangu! awamu hii nikiwa mwaajiriwa wa Yanga SC.

"Kuna jambo acha nitolee ufafanuzi, nimeondoka Simba SC baada ya kuona tunaenda njia tofauti, hata kama isingekuwa Yanga SC pia ningeondoka vilevile. Naiheshimu sana taaluma yangu kwa maana mpira ndio kazi yangu ndio maana ikanibidi nikae pembeni"

"Najisikia vibaya sana kwa mashabiki wa Simba SC walionipenda na kuweka imani kubwa sana kwangu, naomba wanisamehe na wajue kuwa sikudhamiria kuwafedhehesha ama kuwaumiza bali ni sehemu ya maisha"

"Ntaitumikia klabu yangu ya Yanga SC na kuhakikisha tunafikia malengo yetu," alisema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’