Kwa vipindi tofauti, Yanga imehusishwa na aliyekuwa mshambuliaji wa Rayon Sports Michael Sarpong
Nyota huyo ambaye kwa sasa ni mchezaji huru, pia alihusishwa na vilabu vya Simba na Azam FC
Inaelezwa Yanga iko mbioni kumalizana nae, anaweza kuungana na Yacouba Sogne kwenye kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria
Habari za ndani zimebainisha kuwa ni usajili unaosubiri kutangazwa
Tusubiri..!
ADVERTISE HERE