Tambwe arejea rasmi kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Nov 2017
Tambwe arejea rasmi kikosini
Habari ya kutisha iwafikie Tanzania Prisons ambao Jumamosi, Novemba 25 watakuwa wageni wa Yanga katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 11.

Mshambuliaji Amissi Tambwe amerejea kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga ambapo leo amejumuika na wachezaji wengine katika mazoezi yanayofanyika dimba la Uhuru.

Kwa takribani wiki moja Tambwe alikuwa akifanya mazoezi binafsi chini ya uangalizi wa daktari.

Tambwe amerejea akiwa na kasi ambapo alimudu vyema mazoezi yote yaliyokuwa yakitolewa na waalimu huku akionyesha umahiri wake kwenye kupiga mashuti makali.

Mkali huyo wa mabao ana nafasi ya kucheza mchezo wake wa kwanza msimu huu dhidi ya Prisons.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’