Mtoni aibukia Kagera Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Aug 2020
Mtoni aibukia Kagera Sugar

Aliyekuwa mlinzi wa Yanga Ali Mtoni Sonso, amesajiliwa na Kagera Sugar kwa mkataba wa mwaka mmoja

Mtoni amejiunga na timu hiyo akiwa mchezaji huru baada ya kufikia makubaliano na uongozi wa Yanga kuvunja mkataba wake wa miaka miwili

Alijiunga na Yanga mwanzoni mwa msimu wa 2019/20 akitokea klabu ya Lipuli Fc, amewatumikia mabingwa hao wa kihistoria kwa msimu mmoja tu

Kila la kheri mwamba...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’