Sababu ya kuchelewa kocha yatajwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Aug 2020
Sababu ya kuchelewa kocha yatajwa

Cedric Kaze raia wa Burundi ndiye anayetajwa kuwa kocha mpya wa Yanga akitokea kule Amerika ya Kusini ambako anafanya kazi

Bado wanayanga wanasubiri ujio wake, uongozi wa Yanga ukibainisha kuwa atawasili wiki hii tayari kuanza majukumu yake

Taarifa zaidi zimebainisha kuwa kilicho mchelewesha Kaze ni kusubiri majibu ya vipimo vya COVID-19 ili apatiwe vibali asafiri

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said amesema kocha huyo anaweza kuwasili kati ya kesho au Ijumaa

Lakini pamoja na kuchelewa, Kaze ameanza majukumu yake kwa ushirikiano na kocha msaidizi Riedoh Berdien ambapo inaelezwa ametuma program za mazoezi ya awali ambayo yanasimamiwa na Riedoh

Mwishoni mwa wiki hii Yanga inaweza kumtambulisha Kaze sambamba na wachezaji wengine waliosajliwa kwenye ufunguzi wa msimu wa wiki ya Mwananchi kule mkoani Dodoma siku ya Jumamosi August 22, 2020

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’