Ebwanaee.. huyu nae yumo..!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Aug 2020
Ebwanaee.. huyu nae yumo..!

Kiungo fundi wa mpira Carlos Stenio Fernandes Guimaraes maarufu kama 'Carlinhos' ndio anayefuata katika orodha ya mwamba, injinia Hersi Said

Juzi katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Dismas Ten, Afisa Masoko wa Yanga alidokeza ukali wa fundi huyu wa mpira

Anatoka klabu ya Interclube inayoshiriki ligi kuu ya Angola

Kwa wale wanaopenda kuwafanyia tathmini wachezaji wakamtafute huko Youtube, balaa lake sio dogo!

Umri wake ni miaka 25. Unaambiwa ujio wa huyu mwamba una mkono wa Bosi mwenyewe GSM...!

Usajili huu wa kununua wachezaji wenye mikataba unafanywa na Yanga tu, wengine wanasubiri kutereza kwenye 'ganda la ndizi'

Wiki ya Mwananchi mbona kama inachelewa hivi....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’