Mapema leo Bodi ya Ligi Kuu iliweka hadharani ratiba ya awali ya Ligi Kuu ya Vodacom inayotarajiwa kuanza Septemba 06 katika viwanja mbalimbali
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, Almas Kasongo ametangaza ratiba hiyo, makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania katika mkutano na waandishi wa habari.
Mchezo wa kwanza ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, umepangwa kupigwa Oktoba 18 mwaka huu, Uwanja wa Taifa wa Mkapa, Jijini Dar es Salaam
ADVERTISE HERE