Sasa tujiandae kupokea wachezaji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Aug 2020
Sasa tujiandae kupokea wachezaji

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Saidi anatarajiwa kurejea na wale nyota wa Yanga kutoka DR Congo waliokuwa wakisubiriwa kwa hamu

Injinia Hersi yuko DR Congo muda huu akikamilisha michakato iliyokuwa imekwama kutokana na changamoto ya usafiri

Yanga haifanyi ujanja ujanja kwenye usajili, ndio maana unamuona Injinia yuko na mabosi wa AS Vita kumaliza mchakato mezani

Lakini pia ikumbukwe bado Yanga haijatambulisha kocha mkuu mjue...!

Safari hii wamepigwa chenga kali ya mwili, wamesajili matango pori yaliyotegeshwa sasa wamemaliza!

Ngoja waone wachezaji watakavyoanza kutua sasa...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’