Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi leo kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Yanga itashuka dimbani Jumamosi, Novemba 25 kuumana na Prisons, mchezo huo ukitarajiwa kuchezwa kwenye uwanja wa Chamazi baada ya uwanja wa Uhuru kuwa na matumizi maalum siku hiyo.
Papi Tshishimbi na Thabani Kamusoko wamekosekana kwenye mazoezi ya leo asubuhi kutokana na majeruhi, Donald Ngoma bado hajarejea kutoka kwao Zimbabwe huku kukiwa hakuna taarifa zaidi juu yake.

ADVERTISE HERE