Aisee, Mhandisi Hersi kaibukia huku bhana..

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Aug 2020
Aisee, Mhandisi Hersi kaibukia huku bhana..

Alianza kwa kuposti picha jana akiwa Airport pale JNIA, wale wenzetu wakadai ooh amemfuata mchezaji fulani ambaye walidai kumdaka juu kwa juu

Mapema leo akaposti picha nyingine yuko Ethiopia, anakata anga tu

Sasa leo kaibukia DR Congo ndani ya Ubalozi wa Tanzania, akiwa yuko na Makamu wa Rais wa AS Vita pamoja na kocha Florente Ibenge, kocha Mkuu wa AS Vita

Jamaniee, tutulie, hakika mambo mazuri yanakuja, GSM waliahidi, sie tusubiri furaha tu...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’