Kuhakikisha mambo yanakwenda kama yalivyopangwa Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said yuko nchi za mbali akifanya mambo yake
Yanga haiko kimya kama wengi wanavyosema, mabosi wanasema tuwe na subira kwani yule anayefurahi mwishoni ndio hufurahi zaidi
GSM waliweka ahadi kuwa watasajili 'top players' ndani ya Afrika, tusubiri kuwaona nyota hao..
ADVERTISE HERE