Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mikiki mikiki ya ligi kuu ya Vodacom inayoanza kutimua vumbi Septemba 06
Wachezaji wote wa Yanga wakiwemo wale wapya wanashiriki mazoezi hayo yanayosimamiwa na kocha Riedoh Berdien




ADVERTISE HERE