Mmesikia, wameingia 'chaka' huko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Aug 2020
Mmesikia, wameingia 'chaka' huko

Msemaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz amesisitiza kuwa katika usajili unaoendelea hakuna mchezaji ambaye Yanga ilimuhitaji halafu haikumpata

Baada ya klabu ya Simba kumsajili kiungo Larry Bwalya kutoka nchini Zambia, klabu hiyo imedai kuwa wamemsajili mchezaji huyo wakati akiwa mbioni kusajiliwa na Yanga

Katika misimu ya karibuni Simba na hata Azam Fc zimekuwa na kawaida za kuwahi kuwasajili wachezaji wanaohusishwa na Yanga

Lakini wakati huu Yanga imekuja na mbinu ya kipekee, anaweza kutajwa mchezaji kuwa anawindwa na Yanga lakini kumbe siye!

Mashabiki wa Yanga wameaswa watulie kwani usajili unaofanyika ni wa ligi ya Mabingwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’