Kila la kheri 'Papaa' David Molinga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Aug 2020
Kila la kheri 'Papaa' David Molinga

Mcongomani David Molinga 'Falcao' na Papy Kabamba Tshishimbi wameondoka leo kurejea kwao DR Congo baada ya 'anga' kufunguka

Wachezaji hao waliachwa kwenye kikosi cha Yanga kuelekea msimu ujao baada ya mikataba yao kumalizika

Molinga huenda akaibukia kule nchini Morocco kunako klabu ya RS Berkane iliyokuwa ikitajwa kumuwania

Kwa upande wa Tshishimbi bado haijafahamika huko aendako lakini kwa hakika atajilaumu mwenyewe kupoteza nafasi ya kuendelea kuitumikia Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’