Nini jezi? subirini kishindo cha GSM

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Aug 2020
Nini jezi? subirini kishindo cha GSM

Kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi ambayo itazinduliwa kule mkoani Dodoma August 22 2020, wadhamini wa klabu ya Yanga GSM ambao ndio watengenezaji na wasambazaji wa jezi rasmi za klabu hiyo, wametamba kuja na uzi ambao utakuwa gumzo na bora zaidi ya uzi wa msimu uliopita

Jana klabu ya Simba ilitambulisha jezi zake ambazo huko mitandaoni ukosoaji umekuwa mkubwa kuwa tofauti pekee ya jezi hizo na zile za msimu uliopita, ni nembo tu, haitakuwa hivyo kwa GSM

Mkurugenzi wa uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said amewataka Wanayanga wakae tayari kupokea uzi ambao wataufurahia

Kwa mujibu wa takwimu, Yanga ndio klabu iliyofanya vizuri zaidi kwenye mauzo ya jezi msimu uliopita

Jezi za Yanga zilipata mapokezi makubwa, shehena ya kwanza ilimalizika katika kipindi cha siku tatu tu

Pengine hii ndio changamoto ambayo GSM wanapaswa kuifanyia kazi msimu huu, kuleta mzigo wa kutosha ambao unaweza kudumu hata angalau mwezi mmoja baada ya uzinduzi

Uzinduzi wa jezi za msimu upya unatarajiwa kufanyika mapema kabla ya siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi ambayo tarehe yake bado haijawekwa wazi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’