Yanga kuanza msimu na basi jipyaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Aug 2020
Yanga kuanza msimu na basi jipyaa

Inaelezwa katika tukio la wiki ya Mwananchi Yanga itazindua basi jipya litakalotumiwa na klabu hiyo kuanzia msimu ujao

Basi wanalotumia sasa Yanga walikabidhiwa mwaka 2012 na waliokuwa wadhamini wao kampuni ya TBL, wakipewa sambamba na watani zao klabu ya Simba

Kuna mambo mengi yatabadilika katika klabu ya Yanga kuanzia msimu ujao, hasa pale mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji utakapokuwa umekamilika

Wanayanga watarajie timu itakayokuwa ikiendeshwa kisasa zaidi. Pia kutakuwa na maboresho ya miundombinu pamoja na vitendea kazi, ujio wa basi jipya ni moja ya maboresho hayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’