Yanga ruksa kuomba mapitio, hukumu ya Morrison

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Aug 2020
Yanga ruksa kuomba mapitio, hukumu ya Morrison

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imefungua milango kwa klabu ya Yanga kuomba mapitio (review) ya hukumu dhidi ya aliyekuwa mchezaji wao Bernard Morrison

Mwenyekiti wa Kamati hiyo Elias Mwanjala amesema kabla ya kwenda Mamlaka za juu, Yanga wanaweza kukata rufaa kwa kamati hiyo na kuomba hukumu hiyo ipitiwe upya

"Kabla ya kwenda CAS kama walivyotangaza, wanaweza kuomba review ya hukumu iliyotolewa na Kamati inaweza kuketi kuipitia tena," alisema Mwanjala katika mahojiano na Wasafi FM

Baada ya Kamati hiyo kutoa hukumu kuwa Morrison ni mchezaji huru baada ya kubaini mapungufu kwenye mkataba wake wa miaka miwili aliosaini na Yanga, mabingwa hao wa kihistoria walieleza kutoridhishwa na hukumu hiyo na kuweka wazi kusudio lao la kwenda Mahakama ya Kimataifa ya usuluhisho wa  Michezo (CAS)

Tayari uongozi wa Yanga umeomba upatiwe nakala ya hukumu ili waweze kwenda Mamlaka za juu kuitafuta haki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’