Aliyekuwa beki wa Yanga Ally Mtoni Sonso yuko katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wake kunako klabu ya Polisi Tanzania, imefahamika
Mtoni ni miongoni mwa wachezaji ambao walifikia makubaliano na uongozi wa Yanga kuvunja mkataba
Alitua Yanga akitokea klabu ya Lipuli Fc, alikuwa amebakisha mkataba wa mwaka mmoja na Yanga
Kila la kheri mwamba...!
ADVERTISE HERE