Sakata la Morrison lazima kieleweke leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Aug 2020
Sakata la Morrison lazima kieleweke leo

Baada ya danadana za siku mbili, hukumu ya shauri la Mkataba wa Bernard Morrison na klabu ya Yanga, itasomwa leo saa saba mchana

Jana Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji Elias Mwanjala aliwahakikishia Wanahabari kuwa hukumu ya shauri hilo itasomwa leo mchana

Mapema leo Yanga pamoja na Morrison walitakiwa kuwasilisha baadhi ya nyaraka ambazo zilikosekana siku ya jana

Wajumbe wa Kamati hiyo walitarajiwa kukutana Makao Makuu ya TFF kuanzia saa nne asubuhi kuhitimisha shauri hilo

Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki wake wawe watulivu, wasubiri hukumu hiyo

Aidha Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amewataka viongozi wa klabu ya Simba waache kuingilia majukumu ya Kamati kwani kesi hiyo haiwahusu, ni kati ya Morrison na Yanga. Shauri litakalowahusu wao bado halijaanza kusikilizwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’