Yanga imefanikiwa kumnasa mshambuliaji Yacouba Sogne aliyekuwa akiichezea klabu ya Asante Kotoko ya Ghana
Mshambuliaji huyo alipaswa kuwasili nchini siku ya jana Jumatatu, hata hivyo mwamba huyo alishindwa kutua kutokana na changamoto ya usafiri wa anga huko Burkina Faso
Hakuna shaka mpaka kufikia mwishoni mwa wiki hii, atakuwa amewasili tayari kutambulishwa
Sogne ni mmoja wa wachezaji ambao inaelezwa usajili wake ulikamilishwa muda mrefu
ADVERTISE HERE