Kikao cha Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kilichojadili sakata la mkataba wa Bernard Morrison kimemalizika bila ya hukumu kusomwa
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Elias Mwanjala amesema hukumu itasomwa kesho Jumanne mchana majira ya saa nane
ADVERTISE HERE