Kiungo fundi Feisal Salum 'Fei Toto' ameongeza mkataba kuendelea kukipiga na mabingwa wa kihistoria, Yanga
Nyota huyo aliyekuwa anatajwa kunyemelewa na klabu ya Simba amepewa mkataba wa miaka minne
Fei Toto pia amepata dili la kuwa Balozi wa moja ya Maduka ya kuuza vifaa vya michezo yanayomilikiwa na GSM
ADVERTISE HERE