Nyota 10 wa kigeni ruksa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Aug 2020
Nyota 10 wa kigeni ruksa

Waziri mwenye dhamana ya Michezo Dk Harison Mwakyembe ametangaza uamuzi wa Serikali kuendelea kuruhusu idadi ya wachezaji 10 wakigeni.

Kadhalika idadi ya wachezaji wanaotakiwa kuanza kucheza itabaki chini ya Baraza la Michezo BMT

Akitangaza uamuzi huo leo Dkt Mwakyembe amesema Serikali imezingatia maoni ya wadau .

Pia amesema bado Wizara kwa kushirikiana na BMT na wadau wa soka watakaa kujadili aina ama viwango vya wachezaji wanaopaswa kusajiliwa na kuingia nchini.

"Angalau nchi zilizopo katika nafasi ya 50 kwa FIFA ndiyo tusajili huko hata wa daraja la kwanza, ingawa bado hii si sheria ni maoni tu"

"Ni vyema pia aina ya wachezaji watakaosajiliwa kutoka nje wawe na weledi, wawe na uwezo mkubwa"

Amesema kati watu 977 waliyotoa maoni ,watu 809 wametaka idadi ya wachezaji 10 wakigeni

Kando na hayo Wizara imeagiza watu wanaoajiriwa nchini wawe na ulazima wa kujifunza/kufunzwa Kiswahili.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’