Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amewawakilisha mabingwa hao wa kihistoria kwenye Mkutano wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na Klabu za Ligi Kuu unaendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke jijini Dar es Salaam
Inaelezwa baada ya Mkutano huo, hatma ya sakata la winga Bernard Morrison itawekwa hadharani



ADVERTISE HERE