Mabosi wa Yanga leo watakuwa Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa ajili ya kusikiliza shauri la winga Bernard Morrison
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF leo inatarajiwa kumaliza sintofahamu kuhusu madai ya mchezaji huyo kutokuwa na mkataba na Yanga
Pia ni suala la mashtaka ya Yanga dhidi ya Simba wakiwatuhumu kumrubuni na juzi kutangaza kumsajili winga huyo mtukutu raia wa Ghana
Ni shauri lililochukua muda mrefu kutolewa hukumu, bila shaka mpaka kufikia jioni ya leo, mbivu na mbichi zitakuwa zimefahamika
ADVERTISE HERE