Wamechokoza nyuki kwenye mzinga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Aug 2020
Wamechokoza nyuki kwenye mzinga

Hali ni tete pale viunga vya Msimbazi baada ya Wadhamini GSM 'kusepa' na aliyekuwa Bosi wa Simba Senzo Mazingisa

Jana Simba 'walitrend' kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutambulisha usajili wa Bernard Morrison ambao hata hivyo bado una utata

Leo GSM wameamua kuwaonyesha kuwa hakuna brand kubwa kuliko Yanga, wameanza kwa kumsajili Bosi wao

Lakini inaelezwa bado kuna pigo kali zaidi linakwenda kutokea

Taarifa za ndani zinabainisha kuwa nyota watatu wa Simba wanaweza kuungana na Senzo aliyekuja kwa kazi moja tu, kusuka Yanga upande wa uongozi

Kwa hakika walichokoza nyuki kwenye mzinga sasa wametoka....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’