Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa ametua rasmi kunako klabu ya Yanga
Tetesi za Senzo kutua kwa Wananchi zilianza kuvuna muda mfupi baada ya Bosi huyo kutangaza kujiuzulu kunako nafasi yake mchana wa leo
Ujio wa Senzo ni hatua muhimu kuelekea Yanga itakayoendeshwa kisasa zaidi
ADVERTISE HERE