Kikao cha Bodi ya Kuu Tanzania (TPLB) na klabu zinazoshiriki Ligi Kuu, kitafanyika kesho Agosti 10 kuanzia saa 3:00 asubuhi katika ukumbi wa mikutano uliopo kwenye Hosteli za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Ilala jijini Dar es Salaam

ADVERTISE HERE