Yanga kuanza maandalizi ya msimu kesho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Aug 2020
Yanga kuanza maandalizi ya msimu kesho

Kesho Jumatatu, August 10 2020 kikosi cha mabingwa wa kihistoria Tanzania, Yanga kinatarajiwa kuanza mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2020/21

Kikosi kitakachoanza mazoezi kesho, kitawajumuisha wachezaji 15, walionusurika na panga kali lililopitishwa pamoja na nyota watano wapya

Aidha wachezaji wapya wa kigeni wanatarajiwa kuanza kutua wiki inayoanza kesho

Taarifa iliyotolewa na Yanga mapema, ilibainisha kuwa kuna nyota sita wa kigeni waliosajiliwa, wamechelewa kutokana na changamoto ya usafiri wa anga kwenye nchi zao sababu ya corona

Hata hivyo imeelezwa mpaka kufikia August 15, wachezaji wote watakuwa wamewasili

Lakini pia bado Wanayanga wanasubiri kutangazwa kwa Kocha Mkuu ambapo anaweza kuwekwa hadharani wakati wowote

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’