Klabu ya Simba imemtambulisha winga wa Yanga Bernard Morrison kuwa ingizo jipya kwenye kikosi chao
Simba imechukua hatua hiyo wakati Yanga ikisubiri hukumu ya malalamiko waliyopeleka TFF, na yale yaliyokuwa yamepelekwa na Morrison mwenyewe kuhusu mkataba wake
Suala hili lilianza kuzungumzwa kama tetesi lakini sasa ni rasmi mchezaji huyo ameibukia upande wa pili
Hukumu kuhusu mashauri yake itatolewa keshokutwa Jumatatu
ADVERTISE HERE